Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Naiona fainali Younda huko Ivory Coast vs Burkina Faso. Wan lav Cod'voir
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivory Coast ndio mabingwa safari hiiKwanini hukutegemea? Tunisia timu ndogo? Wangekua wamekutana na malawi or Ivory coast ungesema "sikutegeme" but sio Tunisia.
Nigeria jana tumeingia mchezoni tukiwa tumejiamini kupita kiasi, tulilewa sifa kwenye game za makundi tukawachukulia poa Tunisia..Mkuu Nigendako pole aisee ndo naona saa hii. Duuh! Ilikuwaje tena?
Mi mwenyewe nilikuwa na kaunaijeria kidogo kwani walau niliwaona wana uhai.
Kesho wataongezeka watu wa kuandika Cameroon wameniangusha,sikutegemea n.k. Guine win, Cameroon lose. Fainal Ivory Coast vs Burkina Faso(result 2-1) Mfungaji bora Aboubakar(Cameroon)
Ivory Coast ndio mabingwa safari hii
Hamna jinsi kwa kweli zaidi ya kupeana pole japo imejua kutuangusha bana.Nigeria jana tumeingia mchezoni tukiwa tumejiamini kupita kiasi, tulilewa sifa kwenye game za makundi tukawachukulia poa Tunisia..
Mwisho wa siku tukapigwa na kitu kizito [emoji3]
Tupeane pole Shadeeya umetoka Algeria ukahamia Nigeria, sasa hivi unaenda wapi tena [emoji3]
Fatilia kwanza mwenendo wa hali za vikosiKesho wataongezeka watu wa kuandika Cameroon wameniangusha,sikutegemea n.k. Guine win, Cameroon lose. Fainal Ivory Coast vs Burkina Faso(result 2-1) Mfungaji bora Aboubakar(Cameroon)
We ndio unabakia huna timu ama? Hahahaaaa.Nigeria jana tumeingia mchezoni tukiwa tumejiamini kupita kiasi, tulilewa sifa kwenye game za makundi tukawachukulia poa Tunisia..
Mwisho wa siku tukapigwa na kitu kizito [emoji3]
Tupeane pole Shadeeya umetoka Algeria ukahamia Nigeria, sasa hivi unaenda wapi tena [emoji3]
Hahah timu ya tatu hiyo,hadi kieleweke sioHamna jinsi kwa kweli zaidi ya kupeana pole japo imejua kutuangusha bana.
Sasa hivi nahamia kwa wenyeji. Hahahahaaaa.
Wakitolewa ntachagua ingine mpaka mashindano yanakwisha.
Hahaha naenda Mali, KarbuWe ndio unabakia huna timu ama? Hahahaaaa.
Yes! Ikipoteza baadae kesho nahamia kungine.Hahahaaa.Hahah timu ya tatu hiyo,hadi kieleweke sio
Ahsante. Tangulia nayo naja. Hahahaaa.Hahaha naenda Mali, Karbu
Tokea nimeumbwa timu zangu zifuatazo Africa Ivory Coast na ikizingua huwa nawaamini sana Algeria. World Cup France. Huko kungine ni Arsenal na SimbaMlisema kwa nigeria, sasa kwa Ivory coast 😆 hivi unazichukuliaje timu kama Morocco, egypt na Tunisia? Morocco or Tunisia wanabeba, mark my words
Hii AfCON haina vikosi na ingekuwa hivyo Malawi wasingekuwepo bali Ghana,Gabon na Nigeria wangebaki hadi mda huu. Awali niliwapa sana nafasi Algeria ila sioni wakifanya maajabu yoyote yale. Kandanda safi limebaki kwa Burkina na Cod'voir lakini kikubwa zaidi fighting spirit yao is very high na mchezo huwa wanautaka. Narudia tena leo Gambia na Cameroon outFatilia kwanza mwenendo wa hali za vikosi
Magolikipa wa Comoro wana corona hivyo mchezaji wa ndani atalazimika kwenda kudaka...kama ni kweli Cameroon safari nyeupe roboHii AfCON haina vikosi na ingekuwa hivyo Malawi wasingekuwepo bali Ghana,Gabon na Nigeria wangebaki hadi mda huu. Awali niliwapa sana nafasi Algeria ila sioni wakifanya maajabu yoyote yale. Kandanda safi limebaki kwa Burkina na Cod'voir lakini kikubwa zaidi fighting spirit yao is very high na mchezo huwa wanautaka. Narudia tena leo Gambia na Cameroon out
Pana mdau siku zilizopita alitahadharisha kuwa timu kubwa zinapoanza kwa kujikongoja baadae hubadilika pana baadhi ya wadau wakabisha nakumbuka miaka ilopita kwa ulaya timu za italy na ujerumani ilikuwa wana kawaida hiyo mkiwaacha wakapenya kwa taabu na dhiki baadae wana ng'ang'ania inakuwa mbinde kuwatoa nadhani bado pana sintofahamu nyingi zitajitokeza. Kwa Nigeria kwa kuwa ni majirani hata kwa mguu watarudi nyumbani kama bado hawajaanza safari.Mpira wa miguu una siri kubwa sana
Cameroon kafanyia wenzake figisu kwa mgongo wa corona.Huu uenyeji unamfanya awe na mbinu nyingi nje ya uwanja.maana haiwezekani comoro kacheza vizuri makundi sasa hivi ndo linaibuka la corona.ila ngoja tuone itakavyokua.Tunaoenda na Cameroon Tujuane mapema kabisaaaaa sio tukishapiga mtu 4G ndio mjitokeze!
Twende nayo Mkuu tuone mwisho wetu ni wapi.Tunaoenda na Cameroon Tujuane mapema kabisaaaaa sio tukishapiga mtu 4G ndio mjitokeze!