2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Hii AfCON haina vikosi na ingekuwa hivyo Malawi wasingekuwepo bali Ghana,Gabon na Nigeria wangebaki hadi mda huu. Awali niliwapa sana nafasi Algeria ila sioni wakifanya maajabu yoyote yale. Kandanda safi limebaki kwa Burkina na Cod'voir lakini kikubwa zaidi fighting spirit yao is very high na mchezo huwa wanautaka. Narudia tena leo Gambia na Cameroon out

Nimeiscreen short kwa mdau mmoja hivi, na ndiyo wametoka kwenye fifa arab cup

20220124_194641.jpg
 
Back
Top Bottom