Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,661
Hii ni knock out bro! Mbinu zaidi kuliko ufundiGuinea wameniangusha sana.wameonyesha kiwango kizuri ila kwenye umaliziaji ndo tatizo.alafu wamecheza sana ile style ya anao anao hadi wakakosa focus ya umaliziaji.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app