2021 AFCON Special Thread

Ndo maana wengine tukaipa Tunisia mapema tu kuwa lazima apite hatua hii,hatua hizi za kutoana kwa hakika kabisa wenzetu wa kaskazini wanajua kuzicheza vizuri huwa siyo wasahaulifu kabisa Kama sisi...
Tunisia 🇹🇳wanagusa mpira wale jamaa. Wanatumia nguvu na akili kukaba. Ninawaona wakisumbua kwenye hatua zijazo ingawa lolote linaweza kutokea
 
Hata ikuwekwa game saizi Aboubakar vs Peter Banda naamini kabisa Aboubakar nje. Leo ndio safina ya Cameroon inazama, hakuna timu pale kabda ibebwe kwa mbeleko.
 
Naombeni Update maana Cable Songea mda wa game unaanza tu wamebadili chaneli ya Canal inayoonyesha game za AfCON wameweka RMC Tv inaonyesha marudio ya Man United vs West Ham.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…