Hamna kituTuta
Bado saa 4
Nimeweka Kambi hapa YoundeUsikimbie tuu
Hapa naona tz tujifunze kitu....tatizo sio makocha tatizo ni qquality ya wachezaji katika timu ya taifa. Mpaka pale tutapata wachezaji wanacheza ulaya big leagues ndio tuanze story za afconGambia inazidi kushangaza ulimwengu
Kwa mpira gani?Gambia inazidi kushangaza ulimwengu
Hapa naona tz tujifunze kitu....tatizo sio makocha tatizo ni qquality ya wachezaji katika timu ya taifa. Mpaka pale tutapata wachezaji wanacheza ulaya big leagues ndio tuanze story za afcon
Huku Guinea kuna mchezaji anaitwa Kante
Kina bana congo walitutoa ulimi hapa. Kwanza ngoja nikwambie ligi yetu wastani wa magoli upo chi ukilinishanna standards za juu.Akina boko na feisali vipi hawatuvushi afuconi ?
Nyinyi ndio huwa mnaiponza taifa stars, mnataka taifa stars ikiwa inacheza na Ivory coast akina Feisal wapige kanzu.Kwa mpira gani?
Guinea wameniangusha sana.wameonyesha kiwango kizuri ila kwenye umaliziaji ndo tatizo.alafu wamecheza sana ile style ya anao anao hadi wakakosa focus ya umaliziaji.FT' Guinea 0-1 Gambia
Kama Nigeria jana walikera sana, sana nashabikia timu cameroumGuinea wameniangusha sana.wameonyesha kiwango kizuri ila kwenye umaliziaji ndo tatizo.alafu wamecheza sana ile style ya anao anao hadi wakakosa focus ya umaliziaji.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app