2021 AFCON Special Thread

Twende nayo Mkuu tuone mwisho wetu ni wapi.
Nilishakuambia achana na hao wasindikizaji utapata presha buree ilhali wewe ni binti mrembo, tuungane na Morocco......Algeria tumetolewa, sasa nifuate kwa morocco ndiyo the second team nayoipenda na kuikubali, aise hutajutia.


Utabiri wangu, timu zote za kiarabu zinatinga final, but Morocco or Tunis nazipa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo.

Shadeeya, this comment siifuti......tuungane
 
Mambo ni motooo, wakwanza huyo kasharudi bado wale wawili, Mungu saidia senegal na misri watoke. Najua mshanielewa
Hahhahahahaa. Umeeleweka. Nigeria na Guine wametuangusha sana. Soon watabaki waarabu. Juzi kati wametoka kucheza Arabu Cup sasa tunawaachia tena na hili letu la waafrika.
Misri, Tunisia au Morocco wanabeba hii kitu.
Forget about hoster Cameroon, watapigwa tu na waarabu.
 
Hayha jammel rais wao japo walimfurumusha alikuwa mtata sana sasa naona wanawe wanakuwa watata mashindano yao ya kwanza wamepiga hodi mpaka robo fainali sio mafanikio madogo hayo ila wanapaka hina sana na hawana uharaka wanapofika eneo la kushambulia
Wanastahili pongezi sio jambo dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…