2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Wamepost huko
20220125_000847.jpg
 
Refa bwege kabisa, 1st half extra time 4min, 2nd half extra time 3min halafu kamalizia game kwenye move, bwege kabisa.
Gambia watawapiga za kutosha hawa wajinga.
Gambia hakuna timu pale, kuna njia Cameroon anapitishwa ila mwisho wake atakuja kukutana na the elephant horn na atajua kama hajui.
 
Back
Top Bottom