Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #941
Milango bado migumu kwa timu zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tabia ya kupaki basi kwangu naona ni laborious Sana,mda wote mnakimbia kukaba,hamuwi threat kwa mpinzani sasa ndio mpira gani huo?Dakika 12
Malawi 0-0 Senegal
Kama malawi wakitoka draw na senegal na kule kwingine Zimbabwe akashinda malawi si wana fuzu right?
Ni kweli..nimeona guinea amepata goli karudi nafasi ya piliGD itachukua nafasi kuamua then h2h
Lakini mpaka sasa 0-0Senegal ameweka full mkoko
Wanacheza vizuri sanaHawa Malawi sio wenzetu jamani
Kwa ule msimamo,matokeo yakibakia hivihivi,malawi wanafuzuKama malawi wakitoka draw na senegal na kule kwingine Zimbabwe akashinda malawi si wana fuzu right?
Diata,anakiwasha Monaco now, ni majeruhi ndio maana haumuoniHivi yule kijana wa senegal mbaya wetu mwenye sura ya fatiki mbona simuoni au hakuitwa this time?