Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mida hii nakuwa nimeshaangusha gari. 😅Mie game zangu kuangalia ni za saa kumi na saa moja.
Vipi matokeo yalikuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mida hii nakuwa nimeshaangusha gari. 😅Mie game zangu kuangalia ni za saa kumi na saa moja.
Poleni sana
Mkuu wew unaunga mkono kuagiza hadi marefa!!Umefatilia ukajua sababu ni nini? Au kulalamika TU kusipo na sababu.
Njoo na hoja mapovu kafulieInaonekana wewe ni shabiki maandazi. Inatakiwa upigwe shule ili ujue mashindano hayo na kanuni zake.
Usipanue domo tu na kulalamika/kulaumu kama mnywa kimpumu.
CAF wametuaibisha sana waafrica... Mamilioni ya waafrika anakosekana mmoja tu wa kuchezesha
Mida hii nakuwa nimeshaangusha gari. 😅Mie game zangu kuangalia ni za saa kumi na saa moja.
Vipi matokeo yalikuwaje?
Hahhaaa poa kamanda wangu, tusubiriIvory coast anae anaesubiri kumalizia mazishi ya Algeria.
Mshuza2, Bado hali ni ngumu kwa mabingwa watetezi aise.....Mchezo wa mwisho ndiyo utaamua kama best looser na Ivory coast mwenye point 4Algeria hana nafasi tena
Nami nashangaa aise, mpaka malawi, gabon na comoros wameshiriki 🤣🤣🤣 taifa manyota wanakwama wapiiiKuna nchi kama Equitorial Guinea, Sierra Leone, Gambia na Gabon mpira wao umekuwa sana na wachezaji wao wanacheza kwa ari kubwa sana na ndio maana wamekuwa "The Surprise Packages".
Nashangaa kwenye michuano hii zaidi ya nusu ya timu zinazoshiriki zinatoka ukanda moja yaani Afrika Magharibi wakati huku kwetu Afrika Mashariki hamna kitu kabisa. 😛😛
Kwa nini hili linatokea na kwa nini mpira wetu hauonyeshi dalili za kukua?
Kwani Algeria kufungwa Kuna tatizo? Au Kuna timu zilijiwekea hazitakiwi kufungwa
[emoji28][emoji28] aliamua kujifichia aibu!Ivi yule kipa wa Cote d'Ivoire aliumia nini yule
Tuna ligi mbovu, ushabiki mkubwa kwa timu zenye viwango duni kulinganisha na timu za nje, tuna majungu, nepotism, tunajali matumbo yetu, wachezaji wetu kuwa na miili midogo, physique ndogo, stamina dhaifu, vimo vifupi, makocha viwango duni, tunaabudu ushirikina. pamoja na lishe duni (ongeza mambo mengine yenye kikwazo) Kwa mwenendo huo usitegemee tutafua dafu mbele ya wenzetu.Kuna nchi kama Equitorial Guinea, Sierra Leone, Gambia na Gabon mpira wao umekuwa sana na wachezaji wao wanacheza kwa ari kubwa sana na ndio maana wamekuwa "The Surprise Packages".
Nashangaa kwenye michuano hii zaidi ya nusu ya timu zinazoshiriki zinatoka ukanda moja yaani Afrika Magharibi wakati huku kwetu Afrika Mashariki hamna kitu kabisa. 😛😛
Kwa nini hili linatokea na kwa nini mpira wetu hauonyeshi dalili za kukua?
Ni akili ndogo tu ndio inakusumbua, kila mtu ana haki ya kushabikia timu yoyote anayoipenda iwe inampa stress au la kwa sababu hiyo sio swala lako.Kutoishabikia na kuipenda Algeria inayotwaa vikombe, na kuishabikia Equatorial Guinea ni kujipa stress tu at end of the day unakufa kwa heart attack 🤣 huu ni unyambafu wa kiwango cha lami
Nampa nafasi Cameroon
URAIA PACHA unasaidia sana, we chunguza, nchi nying wameruhusu uraia pacha, wanapata wachezaji wengi, mfano equatorial quinea wachezaji karibia 17 wote wamezaliwa Spain, unategemea nn, nchi yetu imebadili mifumo ya kizaman imepitwa na wakat,Kuna nchi kama Equitorial Guinea, Sierra Leone, Gambia na Gabon mpira wao umekuwa sana na wachezaji wao wanacheza kwa ari kubwa sana na ndio maana wamekuwa "The Surprise Packages".