Taja hapa makosa ya refa.Huyu refer siyo kabisaa, tumepigwa changa la macho....Guinea hawaamini kuifunga Algeria 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja hapa makosa ya refa.Huyu refer siyo kabisaa, tumepigwa changa la macho....Guinea hawaamini kuifunga Algeria 🤣🤣🤣
Ivory coast anapoint 4, kwa heri Algeria hata best looser hapati atazidiwa point hata na akina Malawi.Bado hali ni tete kwa mabingwa watetezi,.....Mchezo wa mwisho ndiyo utaamua kama best looser na Ivory coast mwenye point 2
Taja hapa makosa ya refa.
Makosa ya refa huyataji , aaah itakuwa ulibet pole ndugu.Huu ni muda wa kusleep bwana, hata tukijadili haitasaidia chochote na refa lenu la Guatemana, au siyo mzabzab
Makosa ya refa huyataji , aaah itakuwa ulibet pole ndugu.
Ivory coast anae anaesubiri kumalizia mazishi ya Algeria.Mimi ni dam dam Algeria na Morocco, upo hapo kijana?? Ebu niwekee timu lako hapa lililowahi kutwaa vikombe au hata kufika final na kuwazidi magiants hawa???
Term hii waraabu mtaishia kulalamika kwamba marefa Wana chuki na nyie Lakini term hii zamu ni yetu Ngozi nyeusi.Mimi ni dam dam Algeria na Morocco, upo hapo kijana?? Ebu niwekee timu lako hapa lililowahi kutwaa vikombe au hata kufika final na kuwazidi magiants hawa???
CAF wametuaibisha sana waafrica... Mamilioni ya waafrika anakosekana mmoja tu wa kuchezeshaHuyu refer siyo kabisaa, tumepigwa changa la macho....Guinea hawaamini kuifunga Algeria 🤣🤣🤣
Poleni sanaYote kwa yote haikuwa bahati kwa Algeria
Wajinga kabisa CAFCAF wametuaibisha sana waafrica... Mamilioni ya waafrika anakosekana mmoja tu wa kuchezesha
Umefatilia ukajua sababu ni nini? Au kulalamika TU kusipo na sababu.CAF wametuaibisha sana waafrica... Mamilioni ya waafrika anakosekana mmoja tu wa kuchezesha
Wanatembelea kucha mpaka sasa hivi[emoji1][emoji1]Wana kikosi kizuri naamini wataleta ushindani mzuri
Inaonekana wewe ni shabiki maandazi. Inatakiwa upigwe shule ili ujue mashindano hayo na kanuni zake.CAF wametuaibisha sana waafrica... Mamilioni ya waafrika anakosekana mmoja tu wa kuchezesha
Wewe ndo huamini Kwa Algeria kufungwa lakini matokeo halisi ndo hayo kama unayo yaona.Huyu refer siyo kabisaa, tumepigwa changa la macho....Guinea hawaamini kuifunga Algeria [emoji1787][emoji1787][emoji1787]