Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kipa kaumia na wamemaliza sub, hivyo beki Serge Aurier amernda goliniGolikipa wa Ivory Coast amewazawadia goli Sierra Leone
Pakubwa sanaKipa kazingua
Kha jamani kweli sie hatuji mpira yaani hawa ndugu zake george weah walifungiwa n caf wamepigana vita na ligi haichezwi lakini wana cheza afcon wakati sie tunaangalia kwa chupa ya mzungu....kweli sie wabongo tupo m.kunduni mmwa ulimwengu wa mpira
Rais wa Cameroon, Paul Biya ametoa agizo kwa ofisi zote za umma pamoja na shule na vyuo kupunguza muda wa kazi ili kutoa nafasi kwa watu kuhudhuria mechi za Afcon 2021 nchini humo.
Pia watu watakaokata tiketi watapatiwa usafiri wa kwenda na kurudi bureeee
Kwahyo kuanzia kesho viwanja vitajaa