2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Yaani hawa CAF nao wajinga kweli....sasa refa kutoka guatamala wa nini tena jamani?!! Dah waafrika tuna shida ya akili
 
Yaani hawa CAF nao wajinga kweli....sasa refa kutoka guatamala wa nini tena jamani?!! Dah waafrika tuna shida ya akili

Mimi kanikera sana huyu refa na mikadi yake kwa Algeria, wachezaji muhimu kama Bensebain, bounedjah na mandi kuonyeshwa kadi za njano,

Mie wamenikera hawa caf...tournament ya africa, msouth america anakuja kuofficiate wa nini? Mbona wao hawatualiki kwao tukachezeshe mechi.

Ndiyo hapo sasa....kamanda, hawa wachezaji wa Guinea wana asili ya wapi? Isijekua ni Guatemala + refer🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom