Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #821
12' Kessie anakosa goli la wazi hap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1-025' Sebastian Haller anawatanguliza Ivorians
Assist nzuri ya Wilfred Zaha
Kafunga goli tamu yaani kamuuza kipa kama penati25' Sebastian Haller anawatanguliza Ivorians
Ilitakiwa Iwe 2 hapo wanazembea25' Sebastian Haller anawatanguliza Ivorians
Wana uzembe mwingiIlitakiwa Iwe 2 hapo wanazembea
Hahahaha acha kutusema Aseno atauzwa huyu hana maisha marefu Kwa ArtetaHuyu Pepe anakimbia vizuri ila pasi ya mwisho ni mtihani ndio maana haishangazi yupo Arsenal
Alitarajiwa makubwa sana wakati anakuja EPL kutokea Ligue 1Hahahaha acha kutusema Aseno atauzwa huyu hana maisha marefu Kwa Arteta
Biashara imekuwa ngumu kwakeAlitarajiwa makubwa sana wakati anakuja EPL kutokea Ligue 1
KabisaaaaBiashara imekuwa ngumu kwake
65' Pepe anawatanguliza tena Ivory CoastHuyu Pepe anakimbia vizuri ila pasi ya mwisho ni mtihani ndio maana haishangazi yupo Arsenal
66' Tunisia 4-0 MauritaniaTunisia 3-0 Mauritania