2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Makosa ya refa huyataji , aaah itakuwa ulibet pole ndugu.

Mimi ni dam dam Algeria na Morocco, upo hapo kijana?? Ebu niwekee timu lako hapa lililowahi kutwaa vikombe au hata kufika final na kuwazidi magiants hawa???
 
Wale wa Algeria na Egpty nichukue nafasi hii kutuma Salamu za pole Kwa Hali inayoendelea, na naomba mwenyekiti wa kamati ya mazishi uendelee na mipango Ili tujue marehemu watazikwa wapi
 
CAF wametuaibisha sana waafrica... Mamilioni ya waafrika anakosekana mmoja tu wa kuchezesha
Inaonekana wewe ni shabiki maandazi. Inatakiwa upigwe shule ili ujue mashindano hayo na kanuni zake.

Usipanue domo tu na kulalamika/kulaumu kama mnywa kimpumu.
 
Huyu refer siyo kabisaa, tumepigwa changa la macho....Guinea hawaamini kuifunga Algeria [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ndo huamini Kwa Algeria kufungwa lakini matokeo halisi ndo hayo kama unayo yaona.

Umekuwa na matokeo Yako kabla ya mechi kuanza na lawama kuzipeleka Kwa referee plus utaifa wake.

KUBALI ALGERIA KAFUNGWA MAANA KAMA NI MPIRA KAMILIKI YEYE,AJIPANGE KWA MECHI IJAYO.
 
Back
Top Bottom