momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashatoka ubeligiji...dah kijana anajua yuleDiata,anakiwasha Monaco now, ni majeruhi ndio maana haumuoni
VAR ndio imewanyonga
Wana akili wameona huku cecafa siasa nyingi tuu hamna maendeleo ya maanaHawa Malawi toka walivyojitoa CECAFA na kwenda COSAFA kiwango kimepanda
Ndio inavyotakiwa sio namba mpaka ufinye machoNamba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona
Umeligundua hili nilifikiri nimimi peke yangu nimeshangaa sanaNamba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona
Mara ya mwisho kwa Malawi kushiriki michuano ya CECAFA ilikuwa ni lini kaka?Hawa Malawi toka walivyojitoa CECAFA na kwenda COSAFA kiwango kimepanda
Kipa wa Malawi ni kikwazoSenegal anachezaje jamani, ana dalili zozote za kupata goli?
Kwa mnaocheki live.
Picha linaanza Cecafa ina katibu mkuu wa kudumu Nicholaus Musonye😂😂 hayo maendeleo yanatoka wapi??Wana akili wameona huku cecafa siasa nyingi tuu hamna maendeleo ya maana
Kipa wa Malawi ni kikwazo
Mara ya mwisho kwa Malawi kushiriki michuano ya CECAFA ilikuwa ni lini kaka?
Senegal mmeanza nongwa. mmeokolewa na VARNamba za mgongoni kwenye jezi za Malawi ni kubwa kiasi cha kwamba mchezaji akiwa Buguruni wewe ukasimama Kigamboni unamuona
fikiria wana possession 21%Man of the match sio?
Nchi nyingi za Africa jezi zao ni hovyoUmeligundua hili nilifikiri nimimi peke yangu nimeshangaa sana
Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
Yap, Monaco wamevunja bank, anajua sana mpk anakeraKashatoka ubeligiji...dah kijana anajua yule