2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Waarabu wa Algeria Wala kichapo Cha mbwa Koko kutoka Kwa watitu wa Coté D'Ivoire
Kyeee kyee kyee
Kuna waarabu weusi wa hapa Chaniker Kwa Zoo wamenuna hatari wanajifanya na wao eti Wana undugu Wa Dini ileeee na wale wakati Kuna wenzao pia wa Dini Yao ni watitu kama mkaa kutoka Kwa Yaya Toure!
🤓🤓🤓🤓
 
Timu ya Didier Gomes Da Rosa nadhani ndio timu pekee ambayo haijafunga hata goli 1 mpaka sasa. Pia Guinea Bissau ambao tayari wametoka.
 
Bado najiuliza hivi ni sasa wapigaji wa penalty hamna au ni nini tatizo???

Maana, kipa kukaa ndani ya mstari kunampa mpigaji advantage zaidi kuliko kipa but why more missing????
 
Back
Top Bottom