Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Hivi ndivyo Cameroon atashinda kwa Corona mara red card etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Badilisha mawazo yakoDrama. Red card kwa comoro. Mbeleko inazidi kuwabeba wenyeji. Haya mashindano ni hovyo kabisa.
ingekuwa ni kwenye goli la Cameroon wangeenda kuangalia VARYule beki pale chini aliunawa kabisaaa, kucheza na mwenyeji ni kazi kweli
Mapema sanaingekuwa ni kwenye goli la Cameroon wangeenda kuangalia VAR
Huko kwenu tv inaonyesha mkwaju? Basi huku inaonyesha ukwajuMkwaju! Vicent anaongeza account ya mabao apa ...
Wameunawa mara mbili kuna yule aliyedondoka chini na mwingine mpira ulimgonga mkononi.Yule beki pale chini aliunawa kabisaaa, kucheza na mwenyeji ni kazi kweli
Mm nliwaambia mapema Corona haitoshi hapa ila tabu iko pale pale na naona wameambiana wapige za mbaliingekuwa ni kwenye goli la Cameroon wangeenda kuangalia VAR