Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,821
Nilisema mapema hapaAbobakar lazima afunge leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisema mapema hapaAbobakar lazima afunge leo
DaaaaahWhat a goal
Game onWhat a goal
Cameroon waliliona hilo wakaona tusije aibika bure hawa ni kiwapiga figisu hukuhuku nje ya uwanja kwanzaKiukweli hawa Comoros wapo vizuri, licha ya kuwa pungufu unaona uwezo wao, nimeelewa figusu walizofanyiwa.,
Wana hatari kubwa sana.
Jibu Kuntu kabisa. Watu wamezoea kudekezwa tu.Unaweza ukaleta wewe...usiishie kulalamika tu
Man, mtu mzima angeaibika hapa kwa kweli.,Cameroon waliliona hilo wakaona tusije aibika bure hawa ni kiwapiga figisu hukuhuku nje ya uwanja kwanza
Kwa ujinga wetu hawa jamaa wanaweza enda worlcup kabla yetuMan, mtu mzima angeaibika hapa kwa kweli.,
Kweli hawa sio wale tuliokuwa tunajipigia, jamaa wapo vizuri mank wa ujinga wetu