2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Mechi kama hii inanikumbusha Nusu Fainali ya UCL, mechibya marudiano kati ya Barcelona ya Pep Vs Inter Milan ya Mourinho, dk ya 14 Inter wanapata red card, imagine kucheza pungufu Nou Camp kwa dk 90
Hiyo match naikumbuka Barca alishinda 1 bila akatolewa. Huku Borjan Kirkich (Kama nimekosea rekebisha) akifunga goli na kukataliwa.
 
Back
Top Bottom