Pianist
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 681
- 372
Kumbe, nilikuwa sijui hivyo.Halafu Etoo anashangilia wakati kafanya Mchongo.
Anataka kuonekana yeye ndio Rais bora kaingia kama Rais wa FA ya Cameroon na kubeba ndoo.
Game ya Gambia itabidi afante fitna wachezaji wote wakutwe +ve, vinginevyo wanapigwa.