2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Mechi za Leo:

B429928F-5819-40BD-9E68-2B4108412B56.jpeg
 
Hawa wapemba wakishuka airport iwe grand commoro au hata kwa wale majirani zao wafaransa wa kuapia (mayotte )watapokelewa na mashada ya maua.
 
Kifupi mashindano wameya NAJSI na ili yatwaharike inabidi robo fainali Cameroon atoke kibaya zaidi caf wamehusika kuhalalishwa upuuzi huu ina maana etoo nae kashiriki kwenye ubakwaji wa matokeo haya huu ni UPUUZI
 
Back
Top Bottom