mbota
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 1,054
- 585
Hivi inakuwaje mtu anaanza kuwashabikia waarabu nakuacha fellow blacks?
Hahaahaa ishu siyo rangi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inakuwaje mtu anaanza kuwashabikia waarabu nakuacha fellow blacks?
Kuwa Mkweli kama wewe ni shabiki wa Masumbwi.
Mayweather vs Manny Pacquiao ulimshangilia nani?
Dah uko juu mkuu 😀Ndio maana [emoji28][emoji28][emoji28]
Sisi huku ni DSTV Chanel 222
Hivi inakuwaje mtu anaanza kuwashabikia waarabu nakuacha fellow blacks?
Tutafute hela aisee [emoji28]Dah uko juu mkuu [emoji3]
Kuna mido moja hapo aisee. Inachezea mpira inavyotaka.Pamoja na Burkina faso kupata goli ila kiukweli wamewanyanyasa sana watunisia
Hama timu fastaTumefungwa.
DuuuuTunis 0-1tunisia 😞
Anashabikia aina ya soka wanalocheza sio rangi/ asili yao.Hivi inakuwaje mtu anaanza kuwashabikia waarabu nakuacha fellow blacks?
74Dk ya ngapi
74Dk ya ngapi
Huenda wakawashangaza wadau wa soka....wakatinga hata fainali...
Kumbe Bado mapema hivyo, ngoma droo hii inaenda matuta na waarabu tunapita.
VAR imekataaTunisia wanabebwa hapa