Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,641
Mnoo mkuuDah!...nilitabiri huenda Morocco wangebeba ubingwa ila naona utabiri wangu umeshafeli.
...Soka lina matokeo katili...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnoo mkuuDah!...nilitabiri huenda Morocco wangebeba ubingwa ila naona utabiri wangu umeshafeli.
...Soka lina matokeo katili...
'Home ground advantage'...,inamsaidia Sana mwenyeji na anajua sana kuitumia.Hahahah mwarabu ana fitna ila mwenyeji nae sio mnyonge kwenye fitna
Nakubali mkuu, itakuwa mechi ya aina yake'Home ground advantage'...,inamsaidia Sana mwenyeji na anajua sana kuitumia.
Misri wakishafika hatua za mtoano hawashikiki tena..Misri kadri anavyosonga mbele ndio hatari ya yeye kuchukua ndoo inaongezeka
Hapana, nataka salah na mane warudi liverLeo umegeuka raia wa Morocco kisa wameahidi kutujengea uwanja huko Dodoma?
Morocco wanapata faulo ambapo ni kama chance ya mwisho kabisaaa, je wataweza kuitumia?
Bado kidogo wangefungwa la 3Kipa wa Morocco nae kapanda kushambulia
Nawaogopa sana, mimi nipo Cameroon kwasasa, naona kabisa Misri atakuwa kikwazoMisri wakishafika hatua za mtoano hawashikiki tena..
Huenda Salah na Mane wataendelea kuvuta hewa ya Cameroon kwa Sasa....Hapana, nataka salah na mane warudi liver
Nusu Fainali ni Cameroon Vs EgyptEgypt wanafuzu nusu fainali
Wajiandae kisaikolojia, mwenyeji nae anabebwa sanaHawa Mafarao Wanachukua Hili Kombe Kwanza Timu Wanazozitoa Sio Poa
Hii ndio wanaiita "comeback" kwel tumeona mechi ya wnaume
Misri sasa rasmi ni 'title contenders'....Ni furaha kwa wachezaji wa Egypt hapa uwanjani