Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,341
Refa akikubali hili goli basi mpira wa afrika una safari ndefu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio soka lilivyo mkuuMatokeo ya kikatili kwelikweli
Lile goli. Mfungaji ana akili kweli. Aliwaacha wagongane wenyeweRefa akikubali hili goli basi mpira wa afrika una safari ndefu sana
Nani kasema?Goli limekataliwa
Jamaa wanabebwa hadi mshindi wa 3. Refa hataki hata kwenda VARDaah kisa mwenyeji, goli limekubaliwa
Nimeshangaa sana mkuuJamaa wanabebwa hadi mshindi wa 3. Refa hataki hata kwenda VAR
Marefa wote wana maelekezo kutoka CAF nadhaniKuna ile Betrand Traore alipigwa kiwiko then refa akapeta hakutaka hata kuumiza kichwa kujua ukweli.
Washapigwa mpaka hapo. Psychologically lazima wamekata tamaaKama hii game ikienda extra time basi Burkinabe anaweza akalala