2021 inaisha; Je, umefanya jambo gani kubwa la maana?

2021 inaisha; Je, umefanya jambo gani kubwa la maana?

Mimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu,

Huu mwaka ni wa hovyo sana,
Vipi kwa upande wenu wakuu
Kitendo cha kutokufanya la maana pia hilo linamaana ,MAISHA MPANGAJI NI MUNGU na kila mmoja ana wakati wake, Amini nakwambia kama unaona leo sio yako basi ni yamwenzako ,vuta subra omba mungu zamu yako itafika, Maisha yanakanuni za kinidhamu ,hatuwezi pata wote kwa siku moja waka kukosa wote kwa siku moja.

Shukuru kwa kila jambo ,KUBWA PUNZI UTAFANYA VIZURI TU
 
kitendo cha kutokufanya la maana pia hilo linamaana ,MAISHA MPANGAJI NI MUNGU na kila mmoja ana wakati wake, Amini nakwambia kama unaona leo sio yako basi ni yamwenzako ,vuta subra omba mungu zamu yako itafika,
Maisha yanakanuni za kinidhamu ,hatuwezi pata wote kwa siku moja waka kukosa wote kwa siku moja ..


Shukuru kwa kila jambo ,KUBWA PUNZI UTAFANYA VIZURI TU
Na wote tuseme Amina.
 
Hivo yaan

F63823DA-25E6-4712-A588-80C1B4CA1AFA.jpeg
 
Best year of my life, ever. Sijapata pesa, nyingi, maendeleo, wala mafanikio, lakini namshukuru Mungu nimejifunza kushukuru na kuifurahia zawadi ya uhai. Kuna watu huu mwaka mzima wapo hospitalini, wengine wametangulia mbele za haki. Life coulda been worse but Im grateful
 
Mie Jambo la maana nililofanya mwaka huu ni kupanua mradi wangu wa biashara ya majeneza nimeongeza branches kutoka Moja mpaka tatu hivi Sasa nafikiria kuanza kutuma mzigo mikoani
Naamini mwakani mambo yatakuwa mazuri zaidi na biashara yangu itakuwa kubwa zaidi maana dalili zinaanza kuonekana.
Naishukuru Sana serikali yetu ya awamu ya Tano Kwa kutengeneza mazingira rafiki Kwetu wajasiriamali
 
Back
Top Bottom