OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 5,315
- 13,269
Kitendo cha kutokufanya la maana pia hilo linamaana ,MAISHA MPANGAJI NI MUNGU na kila mmoja ana wakati wake, Amini nakwambia kama unaona leo sio yako basi ni yamwenzako ,vuta subra omba mungu zamu yako itafika, Maisha yanakanuni za kinidhamu ,hatuwezi pata wote kwa siku moja waka kukosa wote kwa siku moja.Mimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu,
Huu mwaka ni wa hovyo sana,
Vipi kwa upande wenu wakuu
Na wote tuseme Amina.kitendo cha kutokufanya la maana pia hilo linamaana ,MAISHA MPANGAJI NI MUNGU na kila mmoja ana wakati wake, Amini nakwambia kama unaona leo sio yako basi ni yamwenzako ,vuta subra omba mungu zamu yako itafika,
Maisha yanakanuni za kinidhamu ,hatuwezi pata wote kwa siku moja waka kukosa wote kwa siku moja ..
Shukuru kwa kila jambo ,KUBWA PUNZI UTAFANYA VIZURI TU
Amiin[emoji1317][emoji1317][emoji1317]Na wote tuseme Amina.
Tell them......
Kikubwa Pumzi hayo Mengine MbweMbwetuMimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu.
Huu mwaka ni wa hovyo sana.
Vipi kwa upande wenu wakuu
TakibiiiiiiiiiiirHuu mwaka tukihesabia kwa mtu mmoja mmoja kwamba maefanya nini tutakuwa tumekosea sana...
Kama Taifa Mungu ametufanyia makubwa sana.. Maana shetani alitwaliwa mwaka huu... Yupo chatlle amebaki mifupa
Hongera! Uuendeshe vzr pia usije kukutoa roho kabla mwaka haujaisha.Inshort nimeagiza Mkebe kutokea Japan, unatua mwisho wa mwezi huu.
Mkebe wa mafuta au makebe wa pesa??Inshort nimeagiza Mkebe kutokea Japan, unatua mwisho wa mwezi huu.
Achana na habari za maendeleo utatusababishia sonona bure we njoo apa shokeni bar tuna jambo letu.Mkebe wa mafuta au makebe wa pesa??