2021 inaisha; Je, umefanya jambo gani kubwa la maana?

Aisee!
 
Hongera sn,Kama una branches 3 inaonyesha biashara inalipa sn hapa mjini

Ila nakupa angalizo wakati unajitanua mikoani,ufanye utafiti wa mikoa yenye vifo vingi na uhitaji mkubwa wa majeneza

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
We are still alive is the thing to celebrate [emoji2974]
 
Nilikuwa nikiona post Kama hii miaka kadhaa iliyopita nakasirika sana Ila namshukuru sana Mungu mwaka unaisha nimenunua nyumba na wapangaji kimazabee, ASANTE SANA MUNGU KWA KUNITENDEA MIUJIZA
 
bitter sweet year kwakweli mwaka ulikuwa wa huzuni nzito na furaha kubwa kwa nyakati tofauti.
 
Unaweza kuwa mwanatimu wasiojulikana si kwa roho ya kukuza biashara hiyo
 
Kama ulikua na malengo ya kununua kiwanja karibu sana kwetu. Tuna viwanja vilivyopimwa Kigamboni mwembemdogo, Dege na Cheka sqm 400 (20*20) 6M. Vikindu kuanzia sh laki saba. Tupigie 0762815104
 
Mimi hakuna cha maana nilichokifanya, maisha bado magumu, huu mwaka ni mgumu sana kwangu.

Huu mwaka ni wa hovyo sana. Vipi kwa upande wenu wakuu?
Kama huu uko hivyo ujao si ndio balaa maana Hali ya hewa haisomeki,bidhaa bei juu,chakula bei juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…