PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Aisee haya Magari ya kisasa Kwa hawa mafundi wetu wa chini ya mwembe itakuwa mwisho waoHata Toyota za sasa ni sawa na haohao wa Europe.
Realibility imepungua sana.
Umeme mwingi na sensors kila sehemu.
Nunua Harrier ya mwaka huu uone kama utatengeneza kwa fundi wa chini ya muembe.
Market segmentation kila mtengenezaji ana wateja wake. Ujerumani-Uingereza-Marekani-Japan-China-Russia-South Africa-Sweden-Nyumbu(Kibaha).Kwenye ulimwengu wa Magari hawa wajapan watasubiri Sana kwa European cars.
Hii Benz ni zaidi ya nyumba ya kifahari
Hata Toyota za sasa ni sawa na haohao wa Europe.
Realibility imepungua sana.
Umeme mwingi na sensors kila sehemu.
Nunua Harrier ya mwaka huu uone kama utatengeneza kwa fundi wa chini ya muembe.
S-series za 2015 kuja 2020 so far umeziona ngapi mkuu?Zaidi ya kuziona zile zilizoko ofisi ya Rais/Makamu wa Rais/Waziri mkuu.Hizi bongo zitaingia mapema tu, sema ungekuwa enzi za mkwere sasa hivi watu wamesha weka order
Reliability ya gari inaanza kwa mtumiaji. Ipe gari inachopaswa kupata, usiipeleke isipopaswa kwenda.
Hahahaha!!!
Upo sahihi Mkuu kama Toyota hata Mtoto wa darasa la saba anatengeneza na gari inarudi Kwenye Hali yake
Ndio sipendi sedan na sijawahi fikiria kununua sedan.Thread bila picha inakosa mvuto sana na ukizingatia mtoa mada aliwahi kudai kuwa hapendi sedan.
Nimeiona kwenye insta page ya #newotomobil, aisee ndani ya kile chuma ni mukali sana.Ndio sipendi sedan na sijawahi fikiria kununua sedan.
Ila hii tech iliotumika nimeikubali, nimeifurahia na nimewasifu wajerumani kwa haya matusi mazito walioyafanya.
Naamini wanaopenda sedan watakuja kununua huu mzigo.
Mafundi wetu unawajua vizuri kweli?Hahah ila mafundi waende waka upgrade ujuzi wao maana tech. Inabadilika.
Mkajifunze kwao na sio kuwaona mabeberu wanyonyaji.mzungu anajua aiseee kutangaza kitu chake mpaka unataka ukinunue daaa hawa jamaa saa nyingine unawaza kama sio viumbe wa sayari hii kabisa kwa jinsi wanavyofanya vitu vyao
sisi huku na mbuga zetu na mali asili kibao hatujui hata tuanzie wapi
Hahahaha!!!
Upo sahihi Mkuu kama Toyota hata Mtoto wa darasa la saba anatengeneza na gari inarudi Kwenye Hali yake
Kwa maisha yetu ya kibongo kama unataka kumiliki gari za mjerumani ni Bora uwe na gari nyingine za ziada hapo angalau utakuwa umeitendea hakiTuna heshimu sana ubora wa magari ya kijeruman lakini nikukumbushe hayafai mazingira yetu ya kibabe hata siku moja.
Hili gari linatufaa sisi madomo zege,ukibeba mzigo hakuna kutongoza, ni moja kwa moja mpaka kwenye eneo la tukioS-series za 2015 kuja 2020 so far umeziona ngapi mkuu?Zaidi ya kuziona zile zilizoko ofisi ya Rais/Makamu wa Rais/Waziri mkuu.
Hahah ka IST tu watu wanavulishwa 'chupi',sasa hio S-class ni analoa kabisaaaa kabla hata hajapewa Salamu mkuu.Hili gari linatufaa sisi madomo zege,ukibeba mzigo hakuna kutongoza, ni moja kwa moja mpaka kwenye eneo la tukio