PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Aisee haya Magari ya kisasa Kwa hawa mafundi wetu wa chini ya mwembe itakuwa mwisho waoHata Toyota za sasa ni sawa na haohao wa Europe.
Realibility imepungua sana.
Umeme mwingi na sensors kila sehemu.
Nunua Harrier ya mwaka huu uone kama utatengeneza kwa fundi wa chini ya muembe.