2021 NBA Playoffs special thread

2021 NBA Playoffs special thread

Playoffs za msimu huu ni ngumu...

Pamoja na kwamba ningependa ona finals ya LAC vs Nets or Bucks, ila natamani sana mkongwe CP3 apate ring, watu wa kipaji chake si haki wamalize career zao bila ring hata moja...
 
Playoffs za msimu huu ni ngumu...
Ni kweli na hata kutabirika si rahisi...
Pamoja na kwamba ningependa ona finals ya LAC vs Nets or Bucks,
Hayo mapenzi yawezekana yakatimia na pia yawezekana kutotimia. Binafsi sioni nafasi ya kutimia.
ila natamani sana mkongwe CP3 apate ring, watu wa kipaji chake si haki wamalize career zao bila ring hata moja...
Hakua njia ya mkato nje ya timu yake kufika fainali na kushinda. Rings hazitolewi hivi hivi kama njugu.
 
Atlanta Hawks kawanyang'anya Embiid na jeshi lake 76ers tonge mdomoni. Mpaka robo ya tatu walijua wameshinda lakini ghafla upepo ukawageuka na kujikuta wakilambwa 109-105! Hivi sasa series ni 3-2! Nimeinua mkono michezo ya safari hii haitabiriki!
 
Na sasa UTA Jazz nao wanatungua tatu tau utadhani vichaa lakini hawako mbali wanaongoza tu kwa point tatu 67-64 na wako quarter ya tatu. Mchezo unaendelea...
 
Q3 dakika 8:12 LA Clippers wanachukua uongozi na kuongoza kwa point 3 73-70! Mchezo mkali kweli kweli! Ajabu ni kwamba mchezaji hatari wa Clippers Kahwi Leonard hata hayupo kwenye lineup...aliumia katika mchezo wa juzi!
 
Q3 imeisha na LA Clippers wako mbele kwa point 92-83! Utah Jazz itabidi waongeze juhudi katika kipindi cha mwisho kama wanayo matumaini ya kutwaa ubingwa.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wakuu vipi Utah Anashinda kweli???
Screenshot_20210617-071711.jpg
 
Wakuu vipi Utah Anashinda kweli???
Nafasi ya Utah Jazz kushinda ni ndogo sana labda yatokee maajabu mbele ya safari. Mpaka dakika hii wako nyuma kwa point 10
100-90!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
DAMN! Clippers!!! Seriously!? WOW! I did not expect this performance without your best player.
 
Without Kahwi and away game,I counted them out but I was very wrong Mkuu.
Q3 imeisha na LA Clippers wako mbele kwa point 92-83! Utah Jazz itabidi waongeze juhudi katika kipindi cha mwisho kama wanayo matumaini ya kutwaa ubingwa.
 
DAMN! Clippers!!! Seriously!? WOW! I did not expect this performance without your best player.
LA Clippers are good na wanacheza kama mabingwa hasa! Naona na Utah Jazz nao wanaanza kujitutumua...tusubiri! Score 100-94!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nafasi ya Utah Jazz kushinda ni ndogo sana labda yatokee maajabu mbele ya safari. Mpaka dakika hii wako nyuma kwa point 10
100-90!
Mkuu tusubiri tuone yaaweza tokea maajabu
Screenshot_20210617-073622.jpg
 
Ila hawa referees Mkuu mmhhh! Utah wakiguswa kidogo tu basi ni faulo lakini kwa Clippers wanapeta. Huyu Jackson leo accuracy yake ya 3 points iko on point. Billionaire (owner wa Clippers) shangilia yake lol! Hahahahaha
LA Clippers are good na wanacheza kama mabingwa hasa! Naona na Utah Jazz nao wanaanza kujitutumua...tusubiri! Score 100-94!
 
Ila hawa referees Mkuu mmhhh! Utah wakiguswa kidogo tu basi ni faulo lakini kwa Clippers wanapeta. Huyu Jackson leo accuracy yake ya 3 points iko on point. Billionaire (owner wa Clippers) shangilia yake lol! Hahahahaha
Ni kweli lakini huyu Jackson anawahenyesha Jazz kweli kweli, yaani leo kawa mchungu kama uchungu wenyewe!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
2 minutes to go 110-106 Clippers.
Ni kweli lakini huyu Jackson anawahenyesha Jazz kweli kweli, yaani leo kawa mchungu kama uchungu wenyewe!
 
35 seconds to go 113-108 Clippers.
 
Back
Top Bottom