Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hii series watauana hawaPhoenix wanahehuka uwanjani. Hiki kitakuwa ni kipigo cha mbwa mwizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii series watauana hawaPhoenix wanahehuka uwanjani. Hiki kitakuwa ni kipigo cha mbwa mwizi.
Alikiw anaongoza kwa 7 points madogo wakazichomoa.***** Suns naona leo wamesema Catch me If u catch [emoji23][emoji23][emoji23] kila wakichomoa wanaongeza gepuSasa series kama hii ya vuta nikuvue ndiyo tamu kuiangalia. Nilikuwa nadhani Suns wameshapoteza game one ghafla tu wakaanza kucheza vizuri.
Hamjambo wapenzi wa NBA, mchango wangu ni kwamba huu ni mwaka usiotabirika kirahisi kwa NBA. Hata tabiri zote za mwanzo pamoja na za wataalamu wa siku nyingi karibu zote hazikutimia, hivyo nitabaki nachungulia tu, sitii neno. Nitaungana na ninyi semifainali zikianza. Nawatakia kila la heri!Utah or Brooklyn
Hamjambo wapenzi wa NBA, mchango wangu ni kwamba huu ni mwaka usiotabirika kirahisi kwa NBA. Hata tabiri zote za mwanzo pamoja na za wataalamu wa siku nyingi karibu zote hazikutimia, hivyo nitabaki nachungulia tu, sitii neno. Nitaungana na ninyi semifainali zikianza. Nawatakia kila la heri!
Mchezo kwishaaaa...bahati mbaya kwa mchezaji wa UTA, Mitchell ambaye aliumia na kulazimika kuacha mchezo na hili litakuwa pengo kubwa kwao.
LA Clippers: 132
UTA Jazz: 106
Msimamo mpaka sasa...
Hao Nuggets bure kabisa...clean sweep ni aibu kwenye playoffs, heri hao Phoenix wangekutana na Potrland Trail Blazers. Naamini Phoenix Suns hawawezi kufua dafu kwa UTA Jazz au LA Clippers. Tusubiri tuone, michezo ya mwaka huu haitabiriki kirahisi.Hopefully it’s just a minor injury. Phoenix is kicking Nugget’s ass.