2021 NBA Playoffs special thread

2021 NBA Playoffs special thread

Clippers au Brooklyn lakini safari bado ni ngumu na ndefu. Na wewe je? Ila wale Utah Jazz ni moto wa kuotea mbali hasa wakiwa HEALTHY.
Unatamani nani achukue ubingwa?
 
Naona Bucks Kama Mwendo Kaumaliza Mbele Ya Nets, Daaah Kweli Nimeamini Hii Playoff haina Mwenyewe Wallah [emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu Kuna Taarifa Kuwa LeBron James Gets Eliminated From The Playoffs In Humiliating Fashion, Acts Like A Coward After Losing.
 
Naona Bucks Kama Mwendo Kaumaliza Mbele Ya Nets, Daaah Kweli Nimeamini Hii Playoff haina Mwenyewe Wallah [emoji1787][emoji1787]

Kwa kupoteza game 1?

Harden akiendelea kuwa majeruhi inaweza kuwa ngumu kwao.
 
😂😂😂😂😂😂😂ila jamaa ana ubinadamu wa hali ya juu.


Kati ya Raha zoteee Duniani ni kuiona Lakers chini ya Lebron ikifeliiii
 
Phoenix wanahehuka uwanjani. Hiki kitakuwa ni kipigo cha mbwa mwizi.
 
Back
Top Bottom