Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My prediction Nets VS Utah Jazz
Kabisa Mkuu, Lakers nina wasiwasi nao Phoenix wanaweza kuwafanya vibaya.
Finals: Nets vs Lakers.
Provided Lebron James is 100% fit.
Second Round Utah wanaweza kukutana na LA Clippers! Hapatatosha.
Hiyo sidhani, binafsi Lakers nawapa ushindi in 6 vs Phoenix.
Vs Denver (second round) it will be a bit easy.
He will be.
ESPN wameandika kuhusu jamaa kukiuka protocols za Covid-19 ila hajapewa adhabu wala hatakuwa isolated.
Na inaonekana bado hajapata chanjo.
Nimeiona hiyo, lakini je, timu nyingine hawatalalamika kwamba ni LJ ndiyo sababu anapewa special treatment?
Mwangalieni mpuuzi mwingine! Maovu aliyoyafanya huyo dhalimu anajifanya hayajui kabisa!!!
Miami sijui wana nini leo, niliwapa hii game lakini wanazembea sana.