Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Naona BUCKS ndiyo wameibuka kidedea
Miami wakomae game 2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona BUCKS ndiyo wameibuka kidedea
Hii series ya Bucks na Heat kwa nilivyo check, Hiinsiyo ya kuweka mzgo Moto uta waka .[emoji3][emoji3][emoji3]Naona BUCKS ndiyo wameibuka kidedea
Lilard Wa mo-[emoji91] Wa Kwetu [emoji31][emoji31]Asante sana Damian Lillard, watu wanatuchukulia poa sana ila Blazers tuna balaa.
Lilard Wa mo-[emoji91] Wa Kwetu [emoji31][emoji31]
Finals: Nets vs Lakers.
Sioni Lakers wakifika fainali, hawa jamaa wakifika fainali itakuwa ni dharau sana kwa Western Conference. Lakers kuingia tu kwenye playoffs imebidi wapambane kwanza kwenye tournament ya play-in.
Nets na Philadelphia kati ya hao wawili naona mmoja akitoboa mpaka fainali kwa upande wa Eastern Conference.
Phoenix wana nafasi nzuri sana ya kuwasimamisha hawa in 6 games.
Sioni Lakers wakifika fainali, hawa jamaa wakifika fainali itakuwa ni dharau sana kwa Western Conference. Lakers kuingia tu kwenye playoffs imebidi wapambane kwanza kwenye tournament ya play-in.
Nets na Philadelphia kati ya hao wawili naona mmoja akitoboa mpaka fainali kwa upande wa Eastern Conference.
Niko nafuatilia game yao ya kwanza. Sioni Lakers wakitoboa kwenye hii series, Suns wako vizuri sana. Suns in 4
Na mimi naangalia hiyo hiyo niliingiwa na hofu baada ya CP3 kuumia lakini inaelekea yuko okay.
Lakers are going down tonite.
Hii series inategemea sana afya za watu. CP 3 is very tough mentally (chupuchupu amwaribie sherehe Curry msimu fulani) Tatizo na yeye gari la mkaa. Intensity ya playoff inaweza mtibulia injuries (pia kwa Bron na AD). Lakini wote wakiwa wazima Lakers anashinda.Na mimi naangalia hiyo hiyo niliingiwa na hofu baada ya CP3 kuumia lakini inaelekea yuko okay.
Labda referees wawabebe na Suns wakishinda itawapa confidence kubwa kwamba they can dance with LA and kick them out of playoffs.
Memphis kamfany mby utah jazz