2021 NBA Playoffs special thread

2021 NBA Playoffs special thread

1621999690633.jpeg
 
Mkuu ni kweli lakini tunajua vizuri kabisa Nets watu wake wanakulamba tatu na kuchana wanachana so mazingira yote wanafit wale.

Pata muda wa kuwaangalia Bucks mzee, hizo 3 wao ndo wanashikilia recodi. Na wana defense nzuri kupita Nets.
 
Hivi imekuwaje kwa Clippers Mkuu?au that’s the game plan Yao. Ila The game plan leo was to switch. And if for some reason kawhi wasn’t trying in a playoff game he refuses to put serge ibaka on the floor when zubac clearly can’t guard luka. And pat bev can’t either.. Ujinga kbsa kwa Clippers
 
Nets ni team ambayo ni offensive man defence wapo normal sana
 
Wakikutana na team kama bucks they are good offensv na defnsv. Nets wanapata tabu sana
This time hizi playoffs ngumu sana kutabiri ushindi saiv. Mapema sana. It’s anyone title hadi saiv. Atakaye kaza anabeba title
 
Miami kalamba Nyingi tu Mbele ya Bucks [emoji192][emoji192][emoji192]
 
Kimsingi That seals the deal. I am no longer a Bucks fan. This team is a pure and utter embarrassment to the city of Milwaukee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom