Marvelous King
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 662
- 1,289
Basi napenda wanawake wanaobet sijui nina mapungufu gani. Yaani tayari nimeshakupendaHeri ya mwaka mpya
Kuna siku nilijikuta tu nikasema Embu Leo niweke mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikashindaaaa hadi sasa nimekosa mara mbil tu (hela niliyoiweka ni ndogo lakini isharudi[emoji1787])
Inahitaji moyo wa ziada
Nimegundua ukiweka mchezo mmoja mmoja Ndio unashinda
Nikishinda 1000, 500 naiweka nyingine naendelea[emoji1787][emoji1787]jana nilishinda 10,770 (ikifika laki 3 naanza kakibiashara flani hivi)
Mods msifute uzi wangu plssss!!
View attachment 1667832
View attachment 1667833
Sijui mpira hata kidogoooo nimebahatisha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo huyu anaweza akawa dumeuwapo jf zingatia yafuatayo
kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2 : usiri
kanuni ya 3 : usiri
kanuni ya 4: usimwamini mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini
kanuni ya 7: miliki ID zaidi ya 1
Note: wanawake wa ukweli ukweli waliopo jf ni 17 tu
Yaani huwezi amini sijui nimepatwa na nini.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa nimewwka 5000 nimempa Liverpool halafu nimejilipua nimemuua Valencia nimempa Cadiz mwenye odds 4 ugenini.
Liwalo na liwe
Yaani huwezi amini sijui nimepatwa na nini.
Yaani nikipata mwanamke wa hivyo nitajiona mkamilifu sana aisee
Huko hela ipo kama ukitulia ila inaua sana ufanisiFull mikeka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila kiutani utani naona hela za bure tu ambazo sijazitolea hata jasho ndio maana vijana wengi wanashinda huko[emoji30]
Apa ndo umeshanasa mkuu na Pesa iko uku inaonekana kwa macho ila kuila ndo inahitaji akili kuhusu dini uktaka ukorofshane na Mkamaria muingizie mambo ya dini Uone moto wake Sisi wakamaria tunasema ata maisha ni kamali tosha unalala Leo ujui kesho kama utaamka au UtapitilzaAfter January sitaki tena maana dini yangu hairuhusu
Wawe wapole View attachment 1667955
Apa ndo umeshanasa mkuu na Pesa iko uku inaonekana kwa macho ila kuila ndo inahitaji akili kuhusu dini uktaka ukorofshane na Mkamaria muingizie mambo ya dini Uone moto wake Sisi wakamaria tunasema ata maisha ni kamali tosha unalala Leo ujui kesho kama utaamka au Utapitilza
Tamaa ndiyo inayotufilisi hukoKweli
Usipokua makini unabaki na sh 0 tu zote unaweka humo
Mimi niliyoanza nayo nikaiweka kwenye acc from 500 to 7000 ikabaki 3,000 ndio hiyo nimeichezea 5,00/5,00