Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Kwa nini wakati kama huyo mleta uzi keshajipatia pesa hapo?
Ndo aile na aachane nao kabisa.
Otherwise itarudi halafu ataanza kuitafuta kwa kuongeza dau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini wakati kama huyo mleta uzi keshajipatia pesa hapo?
ndio kama unabisha tuonyeshe jinsia yako[emoji1][emoji1]
Kama jana nilitoa 7000 ikabaki 3k nikaweka team 3 zote 0[emoji1787][emoji1787][emoji1787] imebaki 1,500 nimeweka tena za Leo team 3
Kumbe nayo ni kazi[emoji45]
Kumbe sio ya kike, Ndio inavyosema Sasa mbona kuna female football
Nifundishe na mimi,Kumbe ni biashara nzuri hivyo?Heri ya mwaka mpya
Kuna siku nilijikuta tu nikasema Embu Leo niweke mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikashindaaaa hadi sasa nimekosa mara mbil tu (hela niliyoiweka ni ndogo lakini isharudi[emoji1787])
Inahitaji moyo wa ziada
Nimegundua ukiweka mchezo mmoja mmoja Ndio unashinda
Nikishinda 1000, 500 naiweka nyingine naendelea[emoji1787][emoji1787]jana nilishinda 10,770 (ikifika laki 3 naanza kakibiashara flani hivi)
Mods msifute uzi wangu plssss!!
View attachment 1667832
View attachment 1667833
Sijui mpira hata kidogoooo nimebahatisha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ikiwa dume anajifanya jike au anafungua account kwa kujidai ni jike, Basi anataka kuliwaNO. Nilikuwa nakupa tahadhari tu usishobokee id za kike ipo siku utashobokea dume likukule kimasihara
punguza munkari dada this is jf where we dare to talk openlyNikuoneshe wewe na nani?[emoji848] ukishaona itakusaidia nini??? Embu stick kwenye mada achana na jinsia za watu we umesikia m natafuta bwana humu hadi niwe wa kiume nijifanye wa kike... shwaiiin
Nifundishe basiHahah
Nilikuwa sitanii pacha 😅Mtani umefanya nimkumbuke Pacha Joanah. 😂😂😂😂
Ulishawahi kumpa aka kaujumbe mana niliwahi ona sehemu kuna mtu kaandika naye wamo hizi pande za kubet. Teh
Toooba. (Sina hakika kama alikuwa anamtania ama la)🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hahahaaaa. Nakugawa Pacha. 🤣🤣Nilikuwa sitanii pacha 😅
Nabet na wala sina mpango wa kuacha kubet 😊