2021 ni fireee

2021 ni fireee

ndio kama unabisha tuonyeshe jinsia yako[emoji1][emoji1]

Nikuoneshe wewe na nani?[emoji848] ukishaona itakusaidia nini??? Embu stick kwenye mada achana na jinsia za watu we umesikia m natafuta bwana humu hadi niwe wa kiume nijifanye wa kike... shwaiiin
 
Ndo aile na aachane nao kabisa.

Otherwise itarudi halafu ataanza kuitafuta kwa kuongeza dau.

Kama jana nilitoa 7000 ikabaki 3k nikaweka team 3 zote 0[emoji1787][emoji1787][emoji1787] imebaki 1,500 nimeweka tena za Leo team 3
 
Kama jana nilitoa 7000 ikabaki 3k nikaweka team 3 zote 0[emoji1787][emoji1787][emoji1787] imebaki 1,500 nimeweka tena za Leo team 3

Ule ushindi ulikuwa unakaribishwa, ili uone inawezekana.

Ukishaonekana mzoefu ndo unaanza kupigwa.
 
Maumivu ya Kichwa huanza taratibu,ipo siku utakuja kufungua Thd humu ukiomba msaada wa jinsi ya kuacha kubet,
Time will tell.
 
Heri ya mwaka mpya

Kuna siku nilijikuta tu nikasema Embu Leo niweke mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikashindaaaa hadi sasa nimekosa mara mbil tu (hela niliyoiweka ni ndogo lakini isharudi[emoji1787])

Inahitaji moyo wa ziada

Nimegundua ukiweka mchezo mmoja mmoja Ndio unashinda

Nikishinda 1000, 500 naiweka nyingine naendelea[emoji1787][emoji1787]jana nilishinda 10,770 (ikifika laki 3 naanza kakibiashara flani hivi)

Mods msifute uzi wangu plssss!!

View attachment 1667832
View attachment 1667833
Sijui mpira hata kidogoooo nimebahatisha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nifundishe na mimi,Kumbe ni biashara nzuri hivyo?
 
Nikuoneshe wewe na nani?[emoji848] ukishaona itakusaidia nini??? Embu stick kwenye mada achana na jinsia za watu we umesikia m natafuta bwana humu hadi niwe wa kiume nijifanye wa kike... shwaiiin
punguza munkari dada this is jf where we dare to talk openly
 
Mtani umefanya nimkumbuke Pacha Joanah. 😂😂😂😂

Ulishawahi kumpa aka kaujumbe mana niliwahi ona sehemu kuna mtu kaandika naye wamo hizi pande za kubet. Teh

Toooba. (Sina hakika kama alikuwa anamtania ama la)🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Nilikuwa sitanii pacha 😅

Nabet na wala sina mpango wa kuacha kubet 😊
 
Back
Top Bottom