2021 ni fireee

2021 ni fireee

Heri ya mwaka mpya

Kuna siku nilijikuta tu nikasema Embu Leo niweke mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikashindaaaa hadi sasa nimekosa mara mbil tu (hela niliyoiweka ni ndogo lakini isharudi[emoji1787])

Inahitaji moyo wa ziada

Nimegundua ukiweka mchezo mmoja mmoja Ndio unashinda

Nikishinda 1000, 500 naiweka nyingine naendelea[emoji1787][emoji1787]jana nilishinda 10,770 (ikifika laki 3 naanza kakibiashara flani hivi)

Mods msifute uzi wangu plssss!!

View attachment 1667832
View attachment 1667833
Sijui mpira hata kidogoooo nimebahatisha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi napenda wanawake wanaobet sijui nina mapungufu gani. Yaani tayari nimeshakupenda
 
uwapo jf zingatia yafuatayo

kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2 : usiri
kanuni ya 3 : usiri
kanuni ya 4: usimwamini mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini

kanuni ya 7: miliki ID zaidi ya 1

Note: wanawake wa ukweli ukweli waliopo jf ni 17 tu
Kwa hiyo huyu anaweza akawa dume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nimewwka 5000 nimempa Liverpool halafu nimejilipua nimemuua Valencia nimempa Cadiz mwenye odds 4 ugenini.

Liwalo na liwe
 
Hapa nimewwka 5000 nimempa Liverpool halafu nimejilipua nimemuua Valencia nimempa Cadiz mwenye odds 4 ugenini.

Liwalo na liwe

Mimi team nimezionea hapo zingine majina magumuuuu nimechagua zile ambazo nazisikiaga

Leo kutwa nzima namuuliza Mr hivi Liverpool wakoje tonte sijui team gani gani[emoji1787][emoji1787] hadi ananishangaa nimezijiuaje na kwanini namuuliza
 
Yaani huwezi amini sijui nimepatwa na nini.
Yaani nikipata mwanamke wa hivyo nitajiona mkamilifu sana aisee

Full mikeka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila kiutani utani naona hela za bure tu ambazo sijazitolea hata jasho ndio maana vijana wengi wanashinda huko[emoji30]
 
Full mikeka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila kiutani utani naona hela za bure tu ambazo sijazitolea hata jasho ndio maana vijana wengi wanashinda huko[emoji30]
Huko hela ipo kama ukitulia ila inaua sana ufanisi
 
Nikajaribu kucheza casino game nikaweka 500 heeee nashangaaa iko 20[emoji3064][emoji3064][emoji3064] hata kucheza sijacheza jamani
 
After January sitaki tena maana dini yangu hairuhusu
Apa ndo umeshanasa mkuu na Pesa iko uku inaonekana kwa macho ila kuila ndo inahitaji akili kuhusu dini uktaka ukorofshane na Mkamaria muingizie mambo ya dini Uone moto wake Sisi wakamaria tunasema ata maisha ni kamali tosha unalala Leo ujui kesho kama utaamka au Utapitilza
 
Huko hela ipo kama ukitulia ila inaua sana ufanisi

Kweli

Usipokua makini unabaki na sh 0 tu zote unaweka humo

Mimi niliyoanza nayo nikaiweka kwenye acc from 500 to 7000 ikabaki 3,000 ndio hiyo nimeichezea 5,00/5,00
 
Apa ndo umeshanasa mkuu na Pesa iko uku inaonekana kwa macho ila kuila ndo inahitaji akili kuhusu dini uktaka ukorofshane na Mkamaria muingizie mambo ya dini Uone moto wake Sisi wakamaria tunasema ata maisha ni kamali tosha unalala Leo ujui kesho kama utaamka au Utapitilza

Mume wangu hapendi hayo mambo hapa yenyewe ni kwavile hajashika tu simu yangu, akishika ataifutilia mbali
 
Kweli

Usipokua makini unabaki na sh 0 tu zote unaweka humo

Mimi niliyoanza nayo nikaiweka kwenye acc from 500 to 7000 ikabaki 3,000 ndio hiyo nimeichezea 5,00/5,00
Tamaa ndiyo inayotufilisi huko
 
Back
Top Bottom