2021 ni fireee

ndio kama unabisha tuonyeshe jinsia yako[emoji1][emoji1]

Nikuoneshe wewe na nani?[emoji848] ukishaona itakusaidia nini??? Embu stick kwenye mada achana na jinsia za watu we umesikia m natafuta bwana humu hadi niwe wa kiume nijifanye wa kike... shwaiiin
 
Ndo aile na aachane nao kabisa.

Otherwise itarudi halafu ataanza kuitafuta kwa kuongeza dau.

Kama jana nilitoa 7000 ikabaki 3k nikaweka team 3 zote 0[emoji1787][emoji1787][emoji1787] imebaki 1,500 nimeweka tena za Leo team 3
 
Kama jana nilitoa 7000 ikabaki 3k nikaweka team 3 zote 0[emoji1787][emoji1787][emoji1787] imebaki 1,500 nimeweka tena za Leo team 3

Ule ushindi ulikuwa unakaribishwa, ili uone inawezekana.

Ukishaonekana mzoefu ndo unaanza kupigwa.
 
Maumivu ya Kichwa huanza taratibu,ipo siku utakuja kufungua Thd humu ukiomba msaada wa jinsi ya kuacha kubet,
Time will tell.
 
Nifundishe na mimi,Kumbe ni biashara nzuri hivyo?
 
Nikuoneshe wewe na nani?[emoji848] ukishaona itakusaidia nini??? Embu stick kwenye mada achana na jinsia za watu we umesikia m natafuta bwana humu hadi niwe wa kiume nijifanye wa kike... shwaiiin
punguza munkari dada this is jf where we dare to talk openly
 
Nilikuwa sitanii pacha πŸ˜…

Nabet na wala sina mpango wa kuacha kubet 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…