nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 5,915
- 7,210
Hata stake inatakiwa ubalance na mtaji wakoKweli
Ukiweka team nyingi possibility ya kushinda ni ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata stake inatakiwa ubalance na mtaji wakoKweli
Ukiweka team nyingi possibility ya kushinda ni ndogo
Weka mama weka unasubiri nini ila kumbuka tu isewe hela ya mzee baadae mkaanza kurumbana betting Haina mwenyeweView attachment 1667991
Hivi hii ni kweli jamani[emoji30][emoji30] niweke???[emoji87][emoji87][emoji23][emoji23]
Kweli kweliSiku mbili hizi tu
ee pepo mchafuuu ashindwe kabisa[emoji51][emoji51]
Huyu ni pisi kama pisi dah, mnaoliwa kwnye mkeka mnafeli wap? Ngoja nizoe kwanza humu halfu ntakuja unifundish namna ya kucheza.Heri ya mwaka mpya
Kuna siku nilijikuta tu nikasema Embu Leo niweke mkeka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikashindaaaa hadi sasa nimekosa mara mbil tu (hela niliyoiweka ni ndogo lakini isharudi[emoji1787])
Inahitaji moyo wa ziada
Nimegundua ukiweka mchezo mmoja mmoja Ndio unashinda
Nikishinda 1000, 500 naiweka nyingine naendelea[emoji1787][emoji1787]jana nilishinda 10,770 (ikifika laki 3 naanza kakibiashara flani hivi)
Mods msifute uzi wangu plssss!!
View attachment 1667832
View attachment 1667833
Sijui mpira hata kidogoooo nimebahatisha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee nimekupenda bure. Napenda wanawake watundu. Hiwa napenda mwanamke anayejaribu kila kitu. Hongera sana umevuka hatua mona zaidi yangu. Napensa sana mpira ila kubet nilikataa. Addiction yake[emoji119][emoji119] Arsenal kukuchania mkeka dk 0 tuu[emoji28][emoji28]
All the bests. Weekend nitakupa odds[emoji28][emoji28] halaf vile vitim vya ovyo kwenye ligi za ovyo ndo kuna pesa balaaa
Ha ha ha si hii ya southamton na liver? Hata usikate tamaa. Bado dk nyingi sana kwa mpira. Ila soton huwa wazuri sana hasa wakiwa nyumbaniHahahahaha ila zinaboa sana kama hapa hadi usingizi sina zote nilizochagua zimefungwa kasoro moja tu ndio imeshinda na nyingine ni droo
Nimechukia[emoji19][emoji19][emoji853]
St. Marys huwa pagumu[emoji28][emoji28] poleeeNimepata 0[emoji24][emoji24][emoji24]
ndio kama unabisha tuonyeshe jinsia yako😄😄Kwahiyo m ni mwanaume[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]
NO. Nilikuwa nakupa tahadhari tu usishobokee id za kike ipo siku utashobokea dume likukule kimasihara
Mtani umefanya nimkumbuke Pacha Joanah. 😂😂😂😂Hiyo 10,000 uliyopata nunua matunda utengeneze juice, au nunua bia unywe.
Ukijaribu tu kuendelea, utaikumbuka hii post.
Mtani umefanya nimkumbuke Pacha Joanah. 😂😂😂😂
Ulishawahi kumpa aka kaujumbe mana niliwahi ona sehemu kuna mtu kaandika naye wamo hizi pande za kubet. Teh
Toooba. (Sina hakika kama alikuwa anamtania ama la)🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Kwa nini wakati kama huyo mleta uzi keshajipatia pesa hapo?Siyo kazi za kike hizi na hazifai.