2022 Marcedes Benz EQS

2022 Marcedes Benz EQS

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Would you have it?

IMG_20210329_202816.jpg
IMG_20210329_202818.jpg
IMG_20210329_202728.jpg
 
Hii ya 2022 kuinunua ni mtihani. Walau 2016 unaweza jilipua japo sio rahisi ni kwa wachache.. Benz 2010 naona zimenyooka pia.. na walau unaweza vimba ukapata maana hata mkasi wa TRA sio mkali sana
Ni kweli kodi ni kubwa wakati ya 2009 au 2010 ni Benz toleo la zamani ila zinavutia sana na mapumziko yapo kweli..Benz niliacha kuwakosoa wapo vizuri mno kwa kweli..
 
Ni kweli kodi ni kubwa wakati ya 2009 au 2010 ni Benz toleo la zamani ila zinavutia sana na mapumziko yapo kweli..Benz niliacha kuwakosoa wapo vizuri mno kwa kweli..
Nzuri zaidi ukijitutumua ukachukua 2010.. Japo majuzi nilikuwa nimeangali gari used, nikakuta E350 AMG.. ya 2006, inasoma kama 30,000Km.. nakuja icheki siku mbili mbeleni sinaikuta roho iliuma sanaa
 
Nzuri zaidi ukijitutumua ukachukua 2010.. Japo majuzi nilikuwa nimeangali gari used, nikakuta E350 AMG.. ya 2006, inasoma kama 30,000Km.. nakuja icheki siku mbili mbeleni sinaikuta roho iliuma sanaa
Km wanachezea hao Mkuu usiwaamini sana Ila cheza na 2010 sijajisumbua kuangalia Kodi kipindi hiki cha karibuni kwa Mercedes najua ntaumia tuu..
 
Una maana gani au kauli yako ina maanisha nini ?
Kodi ni factor ndogo sana kwenye ununuzi wa magari.

Miundombinu mibovu na ukosefu wa utaalamu ndo sababu kuogopa haya magari.

Napenda magari ya umeme kama tesla ila shida nikiwaza hii miundombinu na jinsi hakuna mafundi ndo naona bora niendelee na haya mengine.

Ila haya magari matamu sana.
 
Upo vizuri sana. Asilimia kubwa ya watu wanalia kodi humu ndani watu karibia wote wanalia na kodi.. kama kwako kodi sio issue upo mahala pazuri.
 
Back
Top Bottom