Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ya 2022 kuinunua ni mtihani. Walau 2016 unaweza jilipua japo sio rahisi ni kwa wachache.. Benz 2010 naona zimenyooka pia.. na walau unaweza vimba ukapata maana hata mkasi wa TRA sio mkali sanaWazee naona mnaenda mbali mno Benz za 2016 mpaka 2019 kuna vinu vikali vimetoka hapa hatari mno...
Wabongo rudi na gari hakuna wanachoshindwa ukiwa na gari hiyo huwezi kuuliza humu eti fundi anapatikana wapi?Hahahaah service ukafanyie huko huko Frankurt
Ni kweli kodi ni kubwa wakati ya 2009 au 2010 ni Benz toleo la zamani ila zinavutia sana na mapumziko yapo kweli..Benz niliacha kuwakosoa wapo vizuri mno kwa kweli..Hii ya 2022 kuinunua ni mtihani. Walau 2016 unaweza jilipua japo sio rahisi ni kwa wachache.. Benz 2010 naona zimenyooka pia.. na walau unaweza vimba ukapata maana hata mkasi wa TRA sio mkali sana
Hapa bongo si kuna agent wa Benz.. pia wachina garage si wapo..no gear
mbona sijaona picha kwa nje...
Nzuri zaidi ukijitutumua ukachukua 2010.. Japo majuzi nilikuwa nimeangali gari used, nikakuta E350 AMG.. ya 2006, inasoma kama 30,000Km.. nakuja icheki siku mbili mbeleni sinaikuta roho iliuma sanaaNi kweli kodi ni kubwa wakati ya 2009 au 2010 ni Benz toleo la zamani ila zinavutia sana na mapumziko yapo kweli..Benz niliacha kuwakosoa wapo vizuri mno kwa kweli..
Km wanachezea hao Mkuu usiwaamini sana Ila cheza na 2010 sijajisumbua kuangalia Kodi kipindi hiki cha karibuni kwa Mercedes najua ntaumia tuu..Nzuri zaidi ukijitutumua ukachukua 2010.. Japo majuzi nilikuwa nimeangali gari used, nikakuta E350 AMG.. ya 2006, inasoma kama 30,000Km.. nakuja icheki siku mbili mbeleni sinaikuta roho iliuma sanaa
Kodi ni tatizo bado, sijui ni lini nchi yetu itaangalia na hapoKm wanachezea hao Mkuu usiwaamini sana Ila cheza na 2010 sijajisumbua kuangalia Kodi kipindi hiki cha karibuni kwa Mercedes najua ntaumia tuu..
Tumuombe Mama na mtaalamu mpango watusikilize tuache kutumia makopo kila kukicha tunashinda kuuliza JF magari yasiyosumbua...Kodi ni tatizo bado, sijui ni lini nchi yetu itaangalia na hapo
Una maana gani au kauli yako ina maanisha nini ?Tatizo sio kodi.
Ni miundombinu na ujuzi.
Kodi ni factor ndogo sana kwenye ununuzi wa magari.Una maana gani au kauli yako ina maanisha nini ?
Upo vizuri sana. Asilimia kubwa ya watu wanalia kodi humu ndani watu karibia wote wanalia na kodi.. kama kwako kodi sio issue upo mahala pazuri.Kodi ni factor ndogo sana kwenye ununuzi wa magari.
Miundombinu mibovu na ukosefu wa utaalamu ndo sababu kuogopa haya magari.
Napenda magari ya umeme kama tesla ila shida nikiwaza hii miundombinu na jinsi hakuna mafundi ndo naona bora niendelee na haya mengine.
Ila haya magari matamu sana.