African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Sio lazima uanze chini mkuu. Mimi nilianza na Python, ilinipa moyo wa kujifunza vitu vingi kuhusiana na programming language kutokana na ilivyo rahisishwa.Sahihi wadau walinishauri nianze kujifunza other languages before python tena ambayo imeletwa moja kwa moja kwenye field yangu probably ningeanza na c kupata basics.
Nilivyokuwa comfortable nayo nikahamia kwenye Javascript. Ilinichukua wiki kadhaa kuwa comfortable na Javascript. Nikahamia kwenye Dart, then Swift then Kotlin, Java, C++, Php.. yani nikawa naruka huku na kule.
Kwa ufupi, ni kwamba programming language zote zina concepts zinazofanana, kinachobadilika ni syntax na vitu vidogo sana. Language nzuri ni ile unayoitumia kwenye kazi zako.
Kwa sasa nadevelop android, ios & hybrid Apps kwa flutter, backend nafanya kwa express.js. Hivo natumia Kotlin, Swift, Dart na Javascript.