2024: Bora kuanza kunifunza animation kuliko programming

Sahihi wadau walinishauri nianze kujifunza other languages before python tena ambayo imeletwa moja kwa moja kwenye field yangu probably ningeanza na c kupata basics.
Sio lazima uanze chini mkuu. Mimi nilianza na Python, ilinipa moyo wa kujifunza vitu vingi kuhusiana na programming language kutokana na ilivyo rahisishwa.

Nilivyokuwa comfortable nayo nikahamia kwenye Javascript. Ilinichukua wiki kadhaa kuwa comfortable na Javascript. Nikahamia kwenye Dart, then Swift then Kotlin, Java, C++, Php.. yani nikawa naruka huku na kule.

Kwa ufupi, ni kwamba programming language zote zina concepts zinazofanana, kinachobadilika ni syntax na vitu vidogo sana. Language nzuri ni ile unayoitumia kwenye kazi zako.

Kwa sasa nadevelop android, ios & hybrid Apps kwa flutter, backend nafanya kwa express.js. Hivo natumia Kotlin, Swift, Dart na Javascript.
 
[emoji106]
 
Nimekupata kiongozi umefafanua vizuri madini ni mengi shukrani.
 
Kuna industry ya animation bongo kweli? Animation za high quality zinahitaji watu wengi wenye taaluma tofauti ndani ya animation. Kwa ujumla pia animation hailipi kufananisha na tech
 
Tatizo ni kusomea kitu sehemu ambayo haina market yake ama support systems ndani ya sehemu uliyopo.

Leo hii marekani vijana wadogo wanakunja mishahara almost milioni 20 kila mwezi average kwenye kazi za software engineering, cyber security, data science, n,k. huku Tz soko bado ni dogo sana na ajira zake zina demand ndogo

Ukitaka kujiajiri support systems ni chache sana, kupata hata team ya kushirikiana nayo ni ishu, serikali ina msaada kidogo, hata makampuni ya simu wameweka vikwazo mtu kuunganisha huduma za kulipa pesa kwa mtandao kwenye apps.
 
kama ulivyosema ungeanza chini kwanza. Python kwa upande wangu naona ni kama umeruka hatua nyingi hapo katikati.
Kuna muda haitakiwi uanze chini sana mkuu, me language yakwanza kujifunza ilikuwa python before university, Na waliokuwa wananifundisha kipindi hicho walikuwa ni walimu wa physics PhD ila kwao walikuwa wanajifunza pia programming japo kwetu haikuwa kwenye syllabus, ila huku walikuja na waliletwa na government, walitufundisha physics lakini kwasabu tulikuwa funded na computer lab wao wakapewa kuzimanage, they were humble na wakatafta wanafunzi ambao wako interested so part time tulijifunza programming, kuanzia form 5 Hadi 6, na ilinisaidia sana.
 
Animation inahitaji moyo wa chuma, kati ya c++ na animation, Cpp ni rahisi sana
 
Programming inatengeneza AI Models, AI Models zinakuja kufanya complex animation kwa kutumia simple prompt ambayo mtu yoyote anaweza kuiandika

Kati animation na programming always chagua programming
 
Back
Top Bottom