Kibua JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 577 Reaction score 1,606 Jan 21, 2025 #61 Mzee wa Iwambi/Ilomba wewe ni double agent? Au umeanzisha uzi kusoma upepo?
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 4,385 Reaction score 6,443 Jan 21, 2025 #62 Kibua said: Mzee wa Iwambi/Ilomba wewe ni double agent? Au umeanzisha uzi kusoma upepo? Click to expand... Kila kilichoanzishwa na magufuli huyo punga lazima apinge
Kibua said: Mzee wa Iwambi/Ilomba wewe ni double agent? Au umeanzisha uzi kusoma upepo? Click to expand... Kila kilichoanzishwa na magufuli huyo punga lazima apinge
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jan 21, 2025 Thread starter #63 Kibua said: Mzee wa Iwambi/Ilomba wewe ni double agent? Au umeanzisha uzi kusoma upepo? Click to expand... Upepo wa nini? Siko kwenye mambo hayo
Kibua said: Mzee wa Iwambi/Ilomba wewe ni double agent? Au umeanzisha uzi kusoma upepo? Click to expand... Upepo wa nini? Siko kwenye mambo hayo
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jan 21, 2025 Thread starter #64 komasalonde said: Kwa hiyo China wanasafirisha mazao yao juu ya punda. Click to expand... Walianza na miundombinu inayohitajika kusafirishia mazao Yao ndio kabla ya kujenga miundombinu ya maonesho. Wewe umeanza na miundombinu ya maonesho ukaacha miundombinu ya wakulima.
komasalonde said: Kwa hiyo China wanasafirisha mazao yao juu ya punda. Click to expand... Walianza na miundombinu inayohitajika kusafirishia mazao Yao ndio kabla ya kujenga miundombinu ya maonesho. Wewe umeanza na miundombinu ya maonesho ukaacha miundombinu ya wakulima.
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jan 21, 2025 Thread starter #65 amanij said: Ndio kwanza imeanza na watu wanifanyia sabotage. Sijui kwa faida ya nani Click to expand... Sio sabotage hatukuwa tayari Kwa Ajili ya miradi ya maonesho kama hiyo. Unataka uniambie Hawa Vietnam ni wajinga kuliko nyie weusi Hadi akili? View: https://www.instagram.com/p/DDBAVvZpJZm/?igsh=MWllM2ZoNXJhbGdqag==
amanij said: Ndio kwanza imeanza na watu wanifanyia sabotage. Sijui kwa faida ya nani Click to expand... Sio sabotage hatukuwa tayari Kwa Ajili ya miradi ya maonesho kama hiyo. Unataka uniambie Hawa Vietnam ni wajinga kuliko nyie weusi Hadi akili? View: https://www.instagram.com/p/DDBAVvZpJZm/?igsh=MWllM2ZoNXJhbGdqag==
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jan 22, 2025 Thread starter #66 Mnachihanguuu said: Kila kilichoanzishwa na magufuli huyo punga lazima apinge Click to expand... Napinga Kwa hoja. Wewe Kwa akili zako za kindezi ni sawa kumwaga Trilioni 33 Kwenye Sgr ukaacha kutumia hizo hela kujenga km 25,000 za Barabara? Kwamba wewe punguani una akili zipi kuwazidi Wazungu ambao walisubiria mambo ya msingi ndio waje kujenga Sgr?
Mnachihanguuu said: Kila kilichoanzishwa na magufuli huyo punga lazima apinge Click to expand... Napinga Kwa hoja. Wewe Kwa akili zako za kindezi ni sawa kumwaga Trilioni 33 Kwenye Sgr ukaacha kutumia hizo hela kujenga km 25,000 za Barabara? Kwamba wewe punguani una akili zipi kuwazidi Wazungu ambao walisubiria mambo ya msingi ndio waje kujenga Sgr?