Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kilichoanzishwa na magufuli huyo punga lazima apingeMzee wa Iwambi/Ilomba wewe ni double agent? Au umeanzisha uzi kusoma upepo?
Upepo wa nini? Siko kwenye mambo hayoMzee wa Iwambi/Ilomba wewe ni double agent? Au umeanzisha uzi kusoma upepo?
Walianza na miundombinu inayohitajika kusafirishia mazao Yao ndio kabla ya kujenga miundombinu ya maonesho.Kwa hiyo China wanasafirisha mazao yao juu ya punda.
Sio sabotage hatukuwa tayari Kwa Ajili ya miradi ya maonesho kama hiyo.Ndio kwanza imeanza na watu wanifanyia sabotage.
Sijui kwa faida ya nani
Napinga Kwa hoja.Kila kilichoanzishwa na magufuli huyo punga lazima apinge