2024 USA Presidential Debate: Joe Biden avaana na Donald Trump kwenye mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi November 2024

itabidi nitafute clips, maana ni kama niliona musk kapost kwamba tumepata meme za kutosha , kwa maelezo haya itakua mzee amezingua sana
Tafta mkuu. Ni vituko. Yule mzee kuna watu wanamlazimisha agombee wana maslahi nae binafsi. Wanamtumia tu kama sanamu wanajifanyia yao.
 
Reactions: Lax
Biden kiafya na kiakili (mentally) kwa sasa nadhani hayupo sawa.

Debate za kwanza aliwin kwa sababu alikuwa fit, nadhani ni muda mwafaka wa kwenda kupumzika.
 
Marekani wanaruhusu vipi kutaka kuongozwa na hawa wazee!? Siamini taifa kubwa kama USA linaweza kuwa na uhaba wa presidential materials kiasi hiki.
 
Ile debate imenifanya nikubali nchi ikiwa na mifumo mizuri ya utawala hata rais akiwa msukule nchi inaenda tu. Biden ni roboti nadhani kwa asilimia karibu 55.
 
Biden angeachana na mambo ya urais. Biden angeweza kua mzuri kuliko Trump ila umri unamharibia zaidi, hawezi kuongea vizuri, hana kumbukumbu.

Biden uzee unamtafuna kuliko Trump.
Yeah!...Biden angepumzika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…