basi tutamfundisha apunguze makali atumie ukimaniSawa! Lakini asiendelee kutuita sisi weusi kuwa tunatoka kwenye Shitholes!
cc: Mbaga Jr
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi tutamfundisha apunguze makali atumie ukimaniSawa! Lakini asiendelee kutuita sisi weusi kuwa tunatoka kwenye Shitholes!
basi trump anamaliza kazi mapema sanaHao wahindi hawafai we huoni yule Sunak alivyo iharibu UK
Tafta mkuu. Ni vituko. Yule mzee kuna watu wanamlazimisha agombee wana maslahi nae binafsi. Wanamtumia tu kama sanamu wanajifanyia yao.itabidi nitafute clips, maana ni kama niliona musk kapost kwamba tumepata meme za kutosha , kwa maelezo haya itakua mzee amezingua sana
Biden kiafya na kiakili (mentally) kwa sasa nadhani hayupo sawa.Trump alishagundua Biden hana kumbukumbu vizuri, hajui anachokifanya so anajipigia anavyotaka.
Yaani hadi nimemhurumia yule mzee. Simpendi Biden ila leo nimemhurumia.
Yule mzee uzee umemuanza mapema. Ajabu ni kwamba amepewa muda mrefu wa mapumziko anajiandaa na maswali akapewa lakini bado.
Democrat kwani hawana mgombea mwingine hadi kumlazimisha yule mzee agombee? Wangemuacha apumzike tu ale uzee.
Kaiharibuje?Hao wahindi hawafai we huoni yule Sunak alivyo iharibu UK
Kawaulize UK kwanini hawamtaki haswa wa Scotland pia kawaulize siasa yake kuhusu migration huyo atakuwa ni PM wa kwanza UK kukaa kwa mda wa mwaka tu.Kaiharibuje?
Yeah!...Biden angepumzika tuBiden angeachana na mambo ya urais. Biden angeweza kua mzuri kuliko Trump ila umri unamharibia zaidi, hawezi kuongea vizuri, hana kumbukumbu.
Biden uzee unamtafuna kuliko Trump.