2024 USA Presidential Debate: Joe Biden avaana na Donald Trump kwenye mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi November 2024

2024 USA Presidential Debate: Joe Biden avaana na Donald Trump kwenye mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi November 2024

itabidi nitafute clips, maana ni kama niliona musk kapost kwamba tumepata meme za kutosha , kwa maelezo haya itakua mzee amezingua sana
Tafta mkuu. Ni vituko. Yule mzee kuna watu wanamlazimisha agombee wana maslahi nae binafsi. Wanamtumia tu kama sanamu wanajifanyia yao.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Trump alishagundua Biden hana kumbukumbu vizuri, hajui anachokifanya so anajipigia anavyotaka.

Yaani hadi nimemhurumia yule mzee. Simpendi Biden ila leo nimemhurumia.

Yule mzee uzee umemuanza mapema. Ajabu ni kwamba amepewa muda mrefu wa mapumziko anajiandaa na maswali akapewa lakini bado.

Democrat kwani hawana mgombea mwingine hadi kumlazimisha yule mzee agombee? Wangemuacha apumzike tu ale uzee.
Biden kiafya na kiakili (mentally) kwa sasa nadhani hayupo sawa.

Debate za kwanza aliwin kwa sababu alikuwa fit, nadhani ni muda mwafaka wa kwenda kupumzika.
 
Marekani wanaruhusu vipi kutaka kuongozwa na hawa wazee!? Siamini taifa kubwa kama USA linaweza kuwa na uhaba wa presidential materials kiasi hiki.
 
Ile debate imenifanya nikubali nchi ikiwa na mifumo mizuri ya utawala hata rais akiwa msukule nchi inaenda tu. Biden ni roboti nadhani kwa asilimia karibu 55.
 
Biden angeachana na mambo ya urais. Biden angeweza kua mzuri kuliko Trump ila umri unamharibia zaidi, hawezi kuongea vizuri, hana kumbukumbu.

Biden uzee unamtafuna kuliko Trump.
Yeah!...Biden angepumzika tu
 
Back
Top Bottom